Virusi hivyo vinaitwa FIV (Feline Immunodefficiency Virus).
NYONYOMA
www.alchardkalokola.blogspot.com
Tafuta katika Blogu Hii
Ijumaa, 3 Juni 2016
Jumanne, 19 Aprili 2016
Jumamosi, 16 Aprili 2016
by Alchard_Kr
RC DAR ES SALAAM NA KOREA KUSINI WAWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA CHANIKA MANISPAA YA ILALA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kulia) na Makamu wa Rais wa Shirika la Koica la nchini Korea Kusini, Taemyon Kwon, wakiweka tofali kwa pamoja kuashiria uweka wa jiwe la msingi la Hospitali ya Chanika iliyopo Manispaa ya Ilala, inayojengwa kwa ufadhili wa nchi hiyo Dar es Salaam jana. Ujenzi huo hadi kukamilika utagharimu sh. bilioni 8.8 za kitanzania.
Jumatatu, 4 Aprili 2016
RAAN WA MIFANO
by Alchard_Kr
RAAN WA MIFANO NEW SONGS
Kwa wale ambao mlikuwa mlikuwa mkiuliza na kuzitafuta nyimbo za Mwana Hip Hop Chipkiz anae kuja kwa kasi katika tasnia hii ya music wa HIP HOP. Download hapa.
Jumamosi, 2 Aprili 2016
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)


